Hatimaye Chidi Benz aichia video yake na 2Pac

Chidi Benz kushoto kulia ni Tupac Shakur

Hatimaye msanii wa HipHop Chidi Benz ameachia ule wimbo wake 'Dont Cry'  ambao alisema amefanya na mkali wa HipHop duniani 2Pac Shakur ambaye amefariki dunia kwa kupigwa risasi 1996.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS