Jaji Mkuu awaonya mawakili wajanja wajanja

Jaji mkuu wa Tanzania Prof. Ibrahimu Juma

Jaji mkuu wa Tanzania Prof. Ibrahimu Juma amewataka mawakili 166 wapya walioapishwa leo kuziishi kanuni na maadili akiwataka kuwajibika kwa mujibu wa Katiba ya nchi ambayo ndiyo sheria mama akiwataka kutojihusisha na vitendo vya ujanja ujanja.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS