Polisi walivyodhibiti majambazi wa kutumia silaha

Kamishna wa Operesheni na Mafunzo, Liberatus Sabas

Jeshi la Polisi nchini kupitia kwa Kamishna wa Operesheni na Mafunzo, Liberatus Sabas, limetoa ripoti ya mwenendo wa hali ya usalama pamoja na tathmini ya matukio mbalimbali nchini kwa mwaka 2020 ambapo imeelezwa matukio yamepungua kwa kiasi kikubwa ukilinganisha na mwaka 2019.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS