Wembe ni uleule kwenye soka la Ulaya wiki hii Leicester City Vs Chelsea Ligi Soka nchini Uingereza itaendelea tena leo usiku. Baada ya London Derby, tunakutana tena kwenye wiki ya 19 – Leicester City kuwakaribisha Chelsea pale King Power Stadium. Read more about Wembe ni uleule kwenye soka la Ulaya wiki hii