Zifahamu kadi 3 nyekundu za Messi kwenye soka
Lionel Messi usiku wa jana tarehe 17/1/2021 aliadhibiwa kwa kadi nyekundu, katika mchezo wa fainali ya Super Cup ya Hispania iliyowakutanisha Barcelona dhidi ya Athletic Bilbao, ikiwa ni kadi yake ya kwanza tangu aanze kuitumikia Barcelona mwaka 2004.