Bunge la 12 kuanza Novemba 10 picha ya Bunge Kikao cha kwanza cha mkutano wa kwanza wa Bunge la 12 kinatarajiwa kuanza Novemba 10 mwaka huu kama ilivyotamkwa kwenye tangazo la Rais ambapo katika mkutano huo shughuli sita zitafanyika. Read more about Bunge la 12 kuanza Novemba 10