Amber Lulu aukana ujauzito wa Uchebe
Msanii wa BongoFleva Amber Lulu amesema maisha yake hayaweki hadharani bali ni ya siri sana, ila anashangaa kwanini watu wanapenda kumfuatilia na kumzushia vitu kama kuwa na ujauzito wa Uchebe au kutoka na Producer P Funk Majani.