Carlos Tusguets ateuliwa rais wa muda wa Barcelona
Carlos Tusguets ambaye ameteuliwa kuwa rais wa muda wa Barcelona
Mfanyabiashara na mchumi Carlos Tusguets, amechaguliwa kuwa Rais wa muda wa klabu ya soka ya Barcelona, kufuatia kujiuzulu kwa aliyekuwa Rais wa klabu hiyo Joseph Maria Bartomeu.