Magufuli asisitiza amani baada ya uchaguzi

Mgombea wa Urais kupitia Chama cha Mapinduzi(CCM), Dkt.John Pombe Magufuli

Mgombea wa Urais kupitia Chama cha Mapinduzi(CCM), Dkt.John Pombe Magufuli,  amepiga kura kwenye kituo cha kupiga kura  Chamwino huku akisema kuwa siku ya leo ni muhimu katika kukuza demokrasia.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS