Nahodha wa klabu ya Simba, John Bocco 'Adebayor' akiwajibika uwanjani
Nahodha wa klabu ya Simba, John Bocco amewaomba radhi viongozi na wanachama wa mabingwa hao wa ligi kuu Tanzania bara kwa matokeo mabaya waliyoyapata katika mechi mbili mfululizo zilizopita.