Mkwasa azipasha Simba Yanga na Azam

Kocha wa Ruvu Shooting, Charles Boniface Mkwasa akiwa kibaruani

Kocha wa Klabu ya Ruvu Shooting ya Pwani, Charles Boniface Mkwasa amesisitiza kwamba vilabu vinatakiwa kuwapa nafasi wachezaji wazawa kwakuwa wanauwezo mkubwa wa kucheza mpira wa miguu.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS