''KMC kichapo wamejitakia wenyewe'' - Mbuna
Nahodha wa zamani wa timu ya Yanga Fred Mbuna, amesema kitendo cha KMC kuchagua uwanja wa CCM Kirumba kuchezea mchezo wao wa ligi kuu msimu huu Jumapili ya Oktoba 25, 2020 dhidi ya Yanga, ilikuwa ni kosa kubwa sana kwao bila kujua