Steve Nyerere ampa onyo Wema Sepetu kwa Carlinhos Staa wa filamu Wema Sepetu na mchezaji wa Yanga Carlinhos Msanii wa filamu Steve Nyerere ameendelea kumuonya staa mwenziye wa filamu Wema Sepetu kuhusiana na ukaribu wake na mchezaji wa klabu ya Yanga Carlinhos kwa kusema anawaharibia wachezaji. Read more about Steve Nyerere ampa onyo Wema Sepetu kwa Carlinhos