Nahodha msaidizi wa klabu ya Simba, Mohamed Hussein ''Tshabalala'' katika Uwanja wa Bunju (Mazoezini)
Nahodha msaidizi wa klabu ya Simba, Mohamed Hussein ''Tshabalala'' amekiri kwamba timu yao kukaa muda mrefu bila kucheza kunaweza kuwaangusha kimbinu na kiufundi.