Walaji wa chapati, maini na soda wapewa angalizo

Chapati na maini

Mtaalam wa masuala ya lishe kutoka Jukwaa la lishe Tanzania (PANITA) Jane Msagati, amewashauri wanaopenda kula chapati na maini na kisha wakashushia soda au chai ya rangi, waache ulaji wa mtindo huo na badala yake washushie juice ya matunda ili kusaidia mwili kuzalisha damu ya kutosha.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS