"Cappucino Tunda ana miaka 21" - Mwijaku
Ni 'updates' za Video Vixen maarufu hapa nchini Cappuccino Tunda ameonyesha u-bossbabe wake baada ya kufungua biashara yake mpya ambapo awali ilikuwa inasemekana ni mdangaji mpenda picha na kazi yake ni kulala hotelini tu.