Wilder atapotea kwa kushindwa kukubaliana na Furry

Eddie Hearn ambaye ni promota mashughuli wa mchezo wa masumbwi Duniani.

Promota wa masumbwi, Eddie Hearn amesema ni aibu kubwa kwa kitendo cha mabondia Tyson Furry na Deontay Wilder kutofikia makubaliano ya kupigana hata pigano moja nchini Uingereza.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS