Nawajibika kwa 100% suala la Ozil asema Arteta

Mikel Arteta na Mesut Ozil wakipongezana katika moja ya mechi za Arsenal,wakati Arteta akiwa bado anacheza

Kocha mkuu wa timu ya Arsenal Mikel Arteta, amekiri kuhusika moja kwa moja na kumuondoa Mesut Ozil katika orodha ya wachezaji watakao cheza ligi kuu ya England na mashindano ya Ulaya kwa msimu wa 2020/2021

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS