Walichosema Azam baada ya kipigo cha kwanza VPL
Mkuu wa Idara ya Habari na Mawasiliano wa Azm Fc, Zacharia Thabit amesema kwamba ilibidi wapoteze mchezo ili kupunguza shinikizo kwa wachezaji, benchi la ufundi na hata klabu ili wajue kwamba ligi ni ndefu na wajipange kwa ajili ya kukabiliana na changamoto hiyo.