Simba yapangua benchi lake la ufundi

Aliyekua meneja wa Simba, Patrick Rweyemamu akiwa mazoezini na kikosi .

Klabu ya soka ya Simba imetoa taarifa kwa umma kuwa kwa makubaliano ya pande zote mbili imeachana rasmi ba kocha wa makipa Mohamed Muharami na meneja wa timu, Patrick Rweyemamu.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS