Shilole afunguka kuhusu uchawi wa Kikinga
Najua umeshaisikia ile kauli inayosema kabila la Wakinga kutokea Mkoani Njombe wamefanikiwa sana kwenye biashara ya maduka kule Kariakoo, na inasemekana sababu za kufanikiwa kwao ni kuhusishwa na masuala ya imani za kishirina kama uchawi.