Magufuli akabidhiwa cheti, aipongeza tume kwa hili
Rais Mteule wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt John Magufuli, leo Novemba 1, 2020, amekabidhiwa cheti cha ushindi wa nafasi hiyo na Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Jaji mstaafu Semistocles Kaijage.