Gelly wa Rhymes kulelewa na jimama Arusha Picha ya msanii Gelly Wa Rhymes Msanii Gelly Wa Rhymes amefunguka na kusema yeye ni bishoo lakini ni mpambanaji na watu wasimchukulie poa, kama analelewa na mwanamke ambaye amembadilisha dini na kumuhamisha Jiji. Read more about Gelly wa Rhymes kulelewa na jimama Arusha