Watano wafariki kwa sababu ya mafuriko

Mafuriko (Picha si halisi)

Watu watano wafariki Dunia kufuatia Mvua zinazoendelea kunyesha wilayani Serengeti mkoani Mara huku Kaya 400 zipo hatarini kukumbwa na njaa kufuatia mazao mashambani kusombwa na maji.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS