MARA: Sare za polisi zatumika kwa ujambazi
Umoja wa Wavuvi wa Samaki wa mkoani Mara na mkoa jirani wa Mwanza wamelalamikia vitendo vya ujambazi vinavyofanywa na baadhi ya wavuvi wenzao wanaovaa sare za polisi wa Uganda na kuvamia wenzao na kupora mali zao.