Mtoto wa darasa la 3 apewa mimba Katavi
Mtoto mwenye umri wa miaka 13 ambaye alikuwa akisoma katika Shule ya Msingi Msakila Halmashauri ya Manispaa ya Mpanda Mkoani Katavi, amekatishwa masomo yake akiwa darasa la 3 kwa kupewa ujauzito ambao sasa una miezi saba na mtu aliyefahamika kwa jina la Salum Mayunga dereva bodaboda.