TCRA yazindua tuzo 15 za ICT
Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania TCRA, siku ya leo Januari 31, 2020 imezindua tuzo zake ziitwazo ICT Awards, zenye lengo la kuwatambua watoa huduma katika sekta ya habari, mawasiliano na teknolojia ambao wapo chini ya mamlaka hiyo.