Baada ya siku 4, Mke wa Kobe Bryant avunja ukimya
Wakati Dunia inaendelea kuomboleza kifo cha mkongwe wa mchezo wa basketball, Kobe Bryant na mwanaye wa kike Gianna Bryant, Mke wa mchezaji huyo Vanessa Bryant amevunja ukimya kwa mara ya kwanza baada ya kueleza mazito.