Ester Bulaya atoa ombi hili kwa Spika Ndugai
Mbunge wa Bunda Mjini Ester Bulaya, amesema kuwa atahakikisha anasimamia haki na misingi ya Bunge kwa maslahi ya wananchi na kutoa rai kwa Spika wa Bunge Job Ndugai, kuhakisha unakuwepo ushirikiano kwa ajili ya kuitendea nchi haki na Bunge kiujumla.