JPM ampa mbinu ya kuongoza Wizara Simbachawene
Rais wa Dkt. John Pombe Magufuli amemtaka Waziri Mambo ya Ndani ya Nchi Simbachawene kutumia mbinu bora katika kuiongoza Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi kama ambavyo anafanya Waziri wa Ulinzi Hussein Mwinyi.