Cheed afunguka kilichomkuta Kenya na Afrika Kusini

Picha ya msanii wa kundi la Kings Music, Official Cheed

Kutoka kundi la King's Music anaitwa Official Cheed, amefunguka kuwa aliwahi kuuza simu yake ili kwenda nchini Afrika Kusini kwa ajili ya kutafuta maisha pia ametueleza mkasa ambao aliokutana nao wakati anarudi Tanzania kutoka nchini Kenya.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS