Mwandishi afariki, mwili waonekana baada ya siku 3

Mwandishi wa Habari, Deogratius David, wakati wa uhai wake.

Kamishina Msaidizi wa Polisi Mkoa wa Ilala, Janeth Magomi, amethibitisha kifo cha Mwandishi wa Habari, Deogratius David, aliyekutwa amefariki Dunia chumbani kwake, maeneo ya Vingunguti Mji Mpya, huku mwili wake ukiwa umeharibika vibaya.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS