Fahamu kilichojiri katika kesi ya Erick Kabendera

Mwandishi wa Habari, Erick Kabendera akiwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu.

Kesi ya uhujumu uchumi namba 75 ya mwaka 2019, inayomkabili Mwandishi wa Habari za Uchunguzi, Erick Kabendera, imesogezwa mbele hadi Februari 10, 2020, kwa madai ya kuwa upelelezi bado haujakamilika na kwamba mtuhumiwa bado anafanya majadiliano na Ofisi ya Mkurugenzi wa Mashtaka nchini.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS