Rais Magufuli aeleza atakavyomkumbuka Rais Moi
Rais wa Jamhurti ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli, ametuma salamu za pole kwa Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta, kufuatia kifo cha aliyekuwa Rais wa Pili wa nchi hiyo Daniel Arap Moi aliyeaga dunia usiku wa kuamkia leo.