Mgomo wa Madaktari 2012 ulivyomtesa Kijo Bisimba
Mkurugenzi Mstaafu wa Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu hapa nchini (LHRC), Dkt Hellen Kijo Bisimba, amesema miongoni mwa mambo anayoyakumbuka wakati wa utumishi wake ni pamoja na lile tukio la mgomo wa madaktari lililotokea mwaka 2012.