Mtendaji wa Serikali asakwa kwa kuwakeketa watoto

Mkuu wa Wilaya ya Tarime, Mtemi Msafiri.

Mkuu wa Wilaya ya Tarime, Mtemi Msafiri, amesema anamsaka Mmoja wa Watendaji wa Kijiji wilayani humo, kwa madai ya kuwakeketa watoto wake na kwamba akikamatwa atachukuliwa hatua za kisheria.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS