Ubishi wa Alikiba na Killy kuhusu mapenzi Alikiba na Killy Mfalme wa muziki wa BongoFleva Alikiba alikuwa anaubishani na msanii Killy kutoka "Kings music" kuhusiana na suala la kuumizwa katika mapenzi. Read more about Ubishi wa Alikiba na Killy kuhusu mapenzi