Shamsa Ford awakataa Wolper na Wema Sepetu
Muigizaji wa filamu na mfanyabiashara, Shamsa Ford, amesema atawa 'unfollow' Jacqueline Wolper na Wema Sepetu na atamuacha Irene Uwoya, endapo ataambiwa achague abaki na staa gani kati ya hao kwenye mtandao wa Instagram.