Nay wa Mitego asubiri mwongozo wa Karume

Rapa Nay wa Mitego

Rapa anayefanya vizuri kwa sasa na ngoma ya 'Mbele kwa mbele'  amesema inawezekana siku moja akajihusisha na fani ya sheria lakini mpaka aupate mongozo kutoka kwa Rais wa TLS, Fatma Karume.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS