CHADEMA yapata pigo jipya Mbeya
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Wilaya ya Mbeya Mjini, kimepata pigo baada ya Katibu wake, Raphael Mwaitege, kutangaza kujivua nyadhifa zake zote ndani ya chama hicho pamoja na uwanachama akidai kuwa anataka kupumzika siasa.