"Tusipowaheshimu watu wetu tutalaliwa"- JPM

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzana Dkt John Pombe Magufuli.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzana Dkt John Pombe Magufuli ameshuhudia hafla ya utiaji saini baina ya serikali ya Tanzania na wamiliki wenza wa kampuni ya Airtel Tanzania yaliyofanyika Ikulu Jijini Dar es salaam.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS