Kocha wa Simba awashangaa mashabiki
Kocha wa Simba Patrick Aussems amesema mwanzo mzuri wa timu yake kwenye ligi ya mabingwa Afrika hatua ya makundi ni zawadi kwa mashabiki ambao jana walifurika kwenye uwanja wa taifa Simba ikishinda mabao 3-0 dhidi ya JS Saoura.