Magufuli,Kikwete wakwama, sherehe ya Mapinduzi Rais Mstaafu Kikwetena Rais wa sasa Dkt John Magufuli Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk Alli Mohamed Shein ametaja sababu za kutokuwepo kwa baadhi ya viongozi kwenye maadhimisho ya miaka 55 ya mapinduzi ya Zanzibar. Read more about Magufuli,Kikwete wakwama, sherehe ya Mapinduzi