Nguli wa soka asema Pogba ana dharau

Wachezaji wakongwe mbalimbali (kwenye duala jeusi ni Claude Makélélé.

Kiungo wa zamani wa klabu ya Chelsea na timu ya taifa ya Ufaransa, Claude Makelele amesema mtindo wa ushangiliaji mabao wa kiungo wa Manchester United Paul Pogba ni kutoheshimu wapinzani wake.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS