Balozi wa UN afukuzwa Nicholas Haysom. Serikali ya Somalia imemwamuru balozi wa Umoja wa Mataifa nchini humo, Nicholas Haysom kuondoka baada ya kumtuhumu kuwa ameingilia masuala ya ndani ya taifa hilo. Read more about Balozi wa UN afukuzwa