TFF yataja vitu 6 inavyojivunia, ipo Simba Rais wa TFF Wallace Karia Shirikisho la soka nchini (TFF), limeweka wazi vitu 6 linavyojivunia kwa mwaka 2018, ambapo imetaja mafanikio mbalimbali ikiwemo ya Simba na Azam FC. Read more about TFF yataja vitu 6 inavyojivunia, ipo Simba