WanaHip Hop wahoji elimu ya Nikki wa Pili Nikki Mbishi (kushoto) na Nash MC (kulia) Wasanii wa muziki wa HipHop nchini, Nikki Mbishi na Nash MC wamemaliza mwaka 2018 kwa kuzua mjadala mzito juu ya elimu ya msanii wa kundi la 'Weusi', Nikki wa Pili. Read more about WanaHip Hop wahoji elimu ya Nikki wa Pili