Maamuzi ya Mahakama, kesi ya Mbowe na Matiko
Mahakama ya Rufani nchini, leo imesikiliza kesi ya Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA, Freeman Mbowe, na Mbunge wa Tarime Mjini Esther Matiko juu ya hatma ya kufutiwa ama kutofutiwa dhamana yao.