Simba yafanya kama Mtibwa, taifa Meddie Kagere na John Bocco Klabu ya soka ya Simba imefanikiwa kuibuka na ushindi murua wa mabao 3-1 dhidi ya Mbabane Swallows katika uwanja wa taifa jijini Dar es salaam na kuweka matumaini ya kusonga mbele. Read more about Simba yafanya kama Mtibwa, taifa