Lipuli FC yaialika Yanga kuchukua mchezaji
Baada ya tetesi kueelezwa kuwa mabosi wa Yanga wameanza mazungumzo ya kimyakimya na beki kitasa wa Lipuli FC, Ally Sonso, uongozi wa Lipuli FC umeibuka na kusema kuwa haijafanya mazungumzo yoyote na Yanga juu ya mchezaji huyo.